SIKU 30 ZA KUHAKIKI TAARIFA ZA MIKOPO KWA WANUFAIKA ZITAANZA KESHO JUMATATU.
Kwa mujibu ya taarifa iliyotolewa na mkurugenzi wa bodi ya mikopo elimu ya juu nchini. Siku 30 za wanufaika wa mkopo kufanya uhakiki wa taarifa za ziada zitaanza kuhesabika kwanzia siku ya kesho jumatatu..November mosi.
Mkurugenzi huyo ameeleza kwamba wanufaika watafanya uhaikiki huo kupitia account zao ambazo walifungua awali walipokuwa wanaomba mikopo yao wakiwa wanaanza cho ambapo kwanzia siku ya kesho jumatatu watakuta LINK ya kufanya uhakiki huo.
Nimekusogezea taarifa yake aliyoitoa mapema tarehe 26 oktoba 2016.
No comments:
Post a Comment