Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako amewafukuza chuo Waalimu waliokuwa katika mafunzo kwa vitendo Shule ya Mbeya Sekondari kwa kumpiga kikatili Mwanafunzi.
Sakata hili limeibuliwa na picha ya video iliyokuwa ikisambaa katika mitandao ya kijamii.
Taarifa zaidi.... nitakusogezea hapa ...kaa na mimi
No comments:
Post a Comment