USIOGOPE | IPO SIKU | - VIDEO SONG BY GOODLUCK GOZBERT " IPO SIKU " UBARIKIWE

Image result for ipo siku goodluck gozbert

Wakati mwingine kama wanadamu tunafika mahali tunachoka, pale ambapo mambo yanapogoma kuwa kama tulivyotarajia, naomba nikwambie leo kwamba USIOGOPE | IPO SIKU  ... mungu achelewi wala hawai. atafanya kwa wakati wake. 

Ikiwa ni tarehe 23/10 mwaka unakaribia kuisha nimekusogezea video song ya Goodluck Gozbert - IPO SIKU. 

Yamkini kuna mambo ulipanga kufanya katika mwaka huu lakini bado ujafanikiwa basi nichukue fursa hii kukutia moyo ndugu yangu kwamba usiogope, mwamini Mungu  SIKU YAKO IMEKARIBIA.. 

UBARIKIWE NA BWANA NA SIKU YAKO INAKUJA. 

UWE NA JUMAPILI YA BARAKA.


No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.