CHIN BEES - " ZUZU " OFFICIAL VIDEO TAZAMA HAPA...

Image result for chin bees zuzu

Chinbees ni msanii wa Bongofleva ambae ameshafanya collabo na mastaa wakubwa kwenye music wa Tanzania akiwemo Nikki wa Pili kwenywe ‘Sweet Mangi’ ameachia mdundo wake uliobeba title ya ‘Zuzu’  uliotayarishwa na Producer Luffa kutoka Switch Records.. 

Nimekusogezea hapa video hiyo uenjoy mtu wangu... 

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.