ORODHA YA VYUO 26 VILIVYOFUNGIWA NA NACTE KWANZIA LEO...ANGALIA HAPA
NACTE limevifungia vyuo vya ufundi 26 kutokana na makosa mbalimbali, ikiwamo kushindwa kuzingatia masharti yaliyowekwa katika cheti cha usajili wa vyuo hivyo, huku likisimamsisha utoaji wa programu zilizokuwa zikitolewa katika vyuo 20 ambazo hazijasajiliwa.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam, Kaimu Katibu mtendaji wa NACTE, Dkt. Adolf Rutayuga, alisema kuwa wamekuwa wakifuatilia vyuo vya ufundi ili kutathmini kama vinafuata viwango vya ubora wa kitaaluma vilivyowekwa na NACTE katika kutoa mafunzo.
Katibu huyo amesema kuwa baada ya kufanya uchunguzi huo, wamebaini vyuo 26 vilishindwa kuzingatia masharti yaliyowekwa na NACTE katika cheti cha usajili, huku vyuo 20 vikitoa mafunzo ambayo hayajathibitishwa chini ya idara isiyotambulika,wakati vyuo viwili vikiwa na vituo vya satellite/Kampasi ambavyo navyo havijathibitishwa na chombo husika.
Hapa chini ni mgwanyo wa vyuo katika makundi matatu na hatua zilizochokuliwa dhidi ya kila kundi
Vyuo vya Ufundi vilivyofutiwa usajili
S/N | CHUO |
1 | Institute of Management and Development Studies – Iringa |
2 | Green Hill Institute – Mbeya |
3 | Institute of Business and Social Studies – Mbeya |
4 | Loyal College of Africa – Mbeya |
5 | Mbeya Training College – Mbeya |
6 | Mbengwenya College of Business and Information Technology –Mbinga |
7 | New Focus College – Mbeya |
8 | Shukrani International College of Business and Administration – Mbeya |
9 | Majority Teachers College – Mbeya |
10 | Rukwa College of Health Sciences – Sumbawanga |
11 | MAM Institute of Education – Mbeya |
12 | Belvedere Business and Technology College – Mwanza |
13 | Geita Medical Laboratory Sciences and Nursing Training College – Geita |
14 | Global Community College – Geita |
15 | Muleba Academy Institute – Muleba |
16 | St. Bernard Health Training Institute – Katoro, Geita |
17 | Victoria Institute of Tourism and Hotel Management – Mwanza |
18 | Gisan Institute of Health Sciences – Mwanza |
19 | Dar es Salaam Institute of Business Management – Dar es Salaam |
20 | SAMFELIS College of Business Studies – Dar es Salaam |
21 | Ellys Institute of Technology – Bunda, Mara |
22 | Tanzania Institute of Chartered Secretaries and Administrators – Arusha |
23 | Emmanuel Community College – Kibaha |
24 25 26 | Modern Commercial Institute – Dar es Salaam |
Marian College of Law – Dar es Salaam |
No comments:
Post a Comment