CALISAH : ALIYEVUJISHA VIDEO NI MIMI AU WEMA SEPETU, AWASHANGAA WALIOENDA POLISI," WEMA NI MSHKAJI TU "

Image result for calisah na wema wakila denda

Model Calisah amefunguka kwa kudai kuwa huenda ni yeye au Wema Sepetu ndio waliovujisha video inaowaonesha wakilana denda.

Siku chache zilizopita mwanamitindo huyo wa kiume alikamatwa na polisi kwa kosa la kudaiwa kusambaza kipande hicho cha video lakini baadae aliachiwa.
Akiongea na kipindi cha Campus Vibes cha Times FM, Calisah amesema, “Nilienda kwa Wema tukawa tunaongea vizuri tu najaribu kumuelezea, lakini hata yeye alishangaa kuona polisi wameingia. Si yeye ni wapambe wake ndio walienda kituoni, wabeba pochi tu, tena afadhali wangekuwa wanawake ni wanaume.”
“Picha zile tunazo mimi na yeye, kwa hiyo kama sio mimi niliyesambaza ni yeye na kama sio yeye ni mimi. Mimi sijasambaza siwezi kumdhalilisha mwanamke kiasi kile. Sasa hivi nampenda kama mshikaji kwa sababu tayari nina mwanamke mwingine ninayempenda,” ameongeza.

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.