LEO NI SIKU YA KIMATAIFA YA TELEVISHENI

tv-day

Katika siku kama ya leo mwaka 1996, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa liliitangaza na kuiainisha siku hii ya Novemba 21 kuwa Siku ya Kimataifa ya Televisheni. Lengo la Umoja wa Mataifa la kuianisha siku hii lilikuwa ni kuweka mabadilishano ya vipindi vya runinga hususan vipindi vinavyotayarishwa kwa lengo la kueneza amani, ustawi wa kijamii, kiuchumi na kuimarisha masuala ya kiutamaduni ya jamii.

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.