PICHA 8: LIST YA NYUMBA ZA GHARAMA WANAZOMILIKI MASTAA WA SOKA

messi-houses


Kwa hakika mchezo wa soka unawalipa sana wanachezaji na hiyo imewafanya wengine kumiliki mijengo ya maana pengine sawa na matajiri wengine wakubwa duniani.
Hapa tunaangalia mijengo ya wachezaji ya gharama zaidi na hapo utagundua baadhi yao tayari wameshastaafu lakini wamejumuishwa kukupa wewe taswira halisi namna ambavyo mchezo huu ulivyowawezesha wachezaji hao kupata makazi bora ya kuishi... 
1. Didier Drogba- $21million
drogba-house
2. David Beckham: $20 million.
beckham-house
3. Wayne Rooney: $17.83 million.
rooney-house
4. John Terry: $7.5 million.
terry-house
5. Frank Lampard: $7 million.
lampard-house
6. Cristiano Ronaldo: $6 million.
ronaldo-house
7. Mario Balotelli: $5 million.
baloteli-house
8. Lionel Messi- $5 million
messi-houses

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.