EXCLUSIVE AUDIO : MBUNGE EASTER BULLAYA AINGIA STUDIO NA KUUJIBU WIMBO WA BEN POL " PHONE "



Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya ameonesha upande mwingine nje ya uwezo wake katika siasa. Mheshimiwa Bulaya ni malenga wa kutisha na kuonesha kuwa yupo vizuri, ameijibu ngoma ya Ben Pol, Phone.

Haijaishia tu kuandika mashairi, bali ameingia booth kwenye studio za Tiddy Hotter na kuyarekodi kwenye mdundo.

“Alinicheki akaniambia anapenda nyimbo zangu na hii Phone imembamba lakini ameandika kitu anataka nimpe msanii yoyote wa kike aiimbe,” Ben amesema. 
“Nikamuomba arekodi yeye hata kama sio muimbaji basi aijibu kwa ushairi, akakubali.”
Msikilize hapo chini.....

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.