VIDEO : SIMBA YATINGA FAINALI MAPINDUZI CUP 2017 , HII HAPA PENATI YA BOKUNGU ILIYOMTOA YANGA

Usiku wa leo imeshuhudiwa mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga uko Zanzibar kwenye michuano ya Mapinduzi ikiwa ni mechi ya nusu fainali. Timu zote zilijitahidi kutokuzuia magoli kwa dakika za kawaida za mchezo na hatimaye kufikia hatua ya mikaju ya penati.
Kupitia penati, Simba imeweza kuitoa yanga na kutinga fainali kwa kuichapa penati 2 kwa 4, penati ya ushindi imefungwa na Bokungu, Simba sasa itajiandaaa kwa mechi ya fainali itakyokutana na Azam FC nimekusogezea jinsi ilivyokua na goli hilo la ushindi lilivyofungwa.




No comments:
Post a Comment