BREAKING NEWS : WABUNGE WA UPINZANI WATOKA NJE YA UKUMBI WA BUNGE

Image result for breaking news

Dodoma Bungeni, Wabunge wa Upinzani wametoka nje ya ukumbi wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania baada ya kutoridhishwa na maamuzi ya Naibu Spika Dr. Tulia.
Inaripotiwa kwamba Naibu Spika Dr. Tulia aliamuru kutolewa nje kwa Mbunge Halima Mdee na mwenzake waliopaza sauti ndani ya bunge baada ya Naibu spika kukataa mwongozo wa kujadili sababu za kukamatwa kwa Mbunge Tundu Lissu jana.
Wabunge wengine wa upinzani wakachukua uamuzi wa kutoka nje.... 
Taarifa zaidi kaa karibu yangu... #usikubalikupitwa  

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.