MKURUGENZI WA TANESCO ALIYETUMBULIWA AGEUKIA UCHUNGAJI

Leo Tarehe 27 Mei, 2017 Jessengoty.com tunakuletea hii inayomuhusu aliyekuwa Mkurugenzi wa shirika la Umeme TANESCO na baadae kutenguliwa na Mheshimiwa Rais Dk. John Pombe Magufuli.

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Nchini(Tanesco) Mhandisi Felchesm Mramba sasa aibukia Kanisani ambapo ameandaa semina itakayoambatana na maombezi katika kanisa la TAG Changanyikeni.


No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.