HII HAPA LIST YA TIMU 10 ZA MPIRA WA MIGUU TAJIRI ZAIDI DUNIANI 2016.

SPORTS. 
HIZI HAPA TIMU 10 ZINAZOONGOZA KWA UTAJIRI DUNIANI, MACHESTER UNITED IKIWABURUTA WENGINE.. 
Na Justin Mario on April 20, 2016.




Manchester united ni moja ya klabu kubwa duniani yenye hazina ya mashabiki wengi kila sehemu katika nchi nyingi,  orodha mpya ya timu zenye pesa nyingi kwa sasa imetolewa wakati Manchester United ikiwaburuza wengine ikifatia real madrid. 

1. Manchester United $190 milion

2. Real Madrid $162 milion

3. Manchester City $131 milion

4. Arsenal 122 milion

5. Liverpool $155 milion

6. Barcelona $108 milion

7. Juventus $81milion

8. Tottenham Spurs 73 milion

9. Schalke $67 milion

10. Bayern Munich $60 milion

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.