" NILIUNDA KAMATI YA KUCHUNGUZA UVAMIZI WA CLOUDS SIO RC " - NAPE
Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amesema kamati aliyounda ilikuwa kwa ajili ya kuchunguza tukio la uvamimizi wa Clouds Media na sio RC wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Ukupitia mtandao wa twiter Nape ameandika.....
Niliunda Kamati Kuchunguza TUKIO LA KUVAMIWA KITUO CHA UTANGAZAJI sio kumchunguza RC.Kama RC alikuwa mmoja wa wavamizi,HAYUKO JUU YA SHERIA! pic.twitter.com/rsRGFJsAsi— Nape Moses Nnauye (@Nnauye_Nape) May 23, 2017
No comments:
Post a Comment