HABARI PICHA : YALIYOJIRI KWENYE COLLEGE BARAZA - IAA : JUNE 15, 2017
June 15, 2017 kutoka chuo cha Uhasibu Arusha ( IAA ),
kimefanyika kikao cha kuzungumzia maendeleo ya chuo kikihusisha Wanafunzi na
Management ya Chuo ; College Baraza.
Katika college baraza iyo lioongozwa na anaye kaimu
nafasi ya mkuu wa chuo, Makamu Mkuu wa Chuo Dr. Faraj Kassid, wanafunzi
wameweza kuuliza na kuongelea kero wanazozipitia katika mazingira ya kusoma,
pamoja na kutoa maoni mbalimbali jinsi ya kuboresha elimu hapo chuoni.
Nimekuekea hapa picha 12, zikionesha jinsi ilivyokua
katika kikao hicho…
No comments:
Post a Comment