SHABIKI MAARUFU WA YANGA - ALLY YANGA AFARIKI DUNIA KWENYE AJALI



Taarifa ya kusikitisha iliyonifikia kuhusiana na Ally Yanga ni kuwa amefariki dunia katika ajali ya gari Dodoma eneo la Ipogolo, Ally Yanga imeripotiwa kuwa alikuwa katika mbio za Mwenge.


No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.