PICHA : CHELSEA YACHUKUA UBINGWA WA FA YOUTH CUP (3-1) DHIDI YA MANCHESTER CITY

Timu ndogo ya Chelsea Fc yachukua ubingwa wa kombe la FA Youth cup katika mechi iliyochezwa hapo jana tarehe 26 april dhidi ya Manchester city. Ubingwa huo wa magoli 3-1 yaliyofungwa na Tammy Abraham, Dujon Sterling na Fikayo Tomori yaliifanya Chelsea kuibuka na ubingwa huo kwa aggregate ya 4-1 pamoja na mechi iliyopita.

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.