CHELSEA YASAINI MKATABA NA KOCHA MPYA WA KUINOA TIMU HIYO... CONFIRMED.

SPORTS

ANTONIO CONTE ASIGN MKATABA RASMI WA KUINOA TEAM YA CHELSEA BAADA YA JOSE MOURINHO KUTIMULIWA.



Baada ya klabu ya Chelsea ya Uingereza kumfukuza aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Jose Mourinho  miezi kadhaa iliyopita na nafasi yake kuchukuliwa na kocha wa muda Guus Hiddink, April 4 uongozi wa Chelsea umetangaza kocha wa kudumu atakayejiunga na klabu hiyo mwishoni mwa msimu.
Chelsea imetangaza kuingia mkataba wa miaka mitatu na kocha wa timu ya taifa ya Italia Antonio ConteChelsea imempa mkataba Conte ambaye atajiunga na timu hiyo baada ya michuano ya Euro 2016 kumalizika akiwa anaiongoza timu ya taifa ya Italia katika michuano hiyo.

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.