FROM SOUTH AFRICA, PICHA - DIAMOND, P SQUARE WANAFANYA VIDEO.
P Square wamethibitisha kufanya video nchini Afrika kusini ila mpaka sasa haijulikani kama ni video ya wimbo waliofanya na Daimond Platnumz.
Paul Okoye ambaye ni RudebOySquare aliandika hivi baada ya kupost picha
“Dunno what we doing but we definatly having fun in jo’burg,” Paul aliandika kwenye ya picha aliyopost awali
Peter ambaye ni Mr P alitumia ujumbe huu kwenye picha zake “We run thinz… Thinz don’t run we!! #killingIt #AllBlack #koolestDudes“.
No comments:
Post a Comment