JAY DEE ASEMA AJAWAHI KUWA NA MAHUSIANO NA MSANII YOYOTE BONGO + VIDEO YA "NDINDINDI"
Alisema hayo alipokuwa akijibu maswali ya papo kwa papo katika kipindi cha FNL kinachorushwa na EATV wakati akizindua video ya wimbo wa ‘Ndindindi.’
Katika mahojiano hayo pia Jide alisema yeye ndiye msanii wa kwanza kuwahi kufanya interview na Justin Campos
“Nilikutana na Justin Campos kwa mara ya kwanza 2006 wakati tunafanya video ya ‘Njalo’ nilioshirikiana na kundi la Afrika Kusini linalojulikana kama ‘Mina Nawe’, Justin ndio alikuwa director wa video hiyo baada ya miaka 10 tumefanya naye kazi tena 2016,” alisema Jaydee.
Ndindindi utapatikana kwenye album yake mpya iitwayo Woman.
Bado ujaiona video ya nyimbo yake ya ndindindi.. ?? nimekusogezea hapa ..
No comments:
Post a Comment