KABLA YA NUSU FAINALI YA KWANZA KUANZA, YAFAHAMU HAYA. MAN CITY VS REAL MADRID

Bado masaa kadhaa kabla ya nusu fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kuchezwa katika uwanja wa Etihad Uingereza, mchezo ambao utakuwa unazihusisha klabu za Man City dhidi ya Real Madrid,hizi ni takwimu muhimu za kuzifahamu.
MECHI 5 ZA MWISHO MAN CITY KUCHEZA KABLA YA NUSU FAINALI YA LEO
  • Man City 4 – 0 Stoke City 23 April 2016
  • Newcastle 1 – 1 Man City 19 April 2016
  • Chelsea 0 – 3 Man City 16 April 2016
  • Man City 1 – 0 PSG 12 April 2016
  • Man City 2 – 1 West Bromwich Albion 09 April 2016
MECHI 5 ZA MWISHO REAL MADRID KUCHEZA KABLA YA NUSU FAINALI YA LEO
  • Rayo Vallecano 2 – 3 Real Madrid 23 April 2016
  • Real Madrid 3 – 0 Villarreal 20 April 2016
  • Getafe 1 – 5 Real Madrid 16 April 2016
  • Real Madrid 3 – 0 Wolfsburg 12 April 2016
  • Real Madrid 4 – 0 Eibar 09 April 2016
MAN CITY VS REAL MADRID
  • Man City 1 – 4 Real Madrid 24 July 2015
  • Man City 1 – 1 Real Madrid 21 Nov 2012
  • Real Madrid 3 – 2 Man City 18 Sep 2012

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.