VIDEO: SNURA ATOA VIDEO YA WIMBO WAKE WA CHURA, NIMEKUSOGEZEA HAPA




Sauti yake Snura tunayo kwenye hit single ‘majanga‘ ambayo ndio ilimtoa, sasa kwenye mfululizo wa nyimbo zake anazoendelea kuzitoa amefikia hapa kwenye kuitoa hii chura ambayo video yake ni official lakini yeye humo ndani haonekani.. 


No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.