MSIBA WA ALIYEKUWA FIRST LADY WA KENYA ( LUCY KIBAKI) . RIP MAMA KIBAKI




first lady wa zamani wa Kenya Lucy Kibaki amefariki Dunia. Lucy Kibaki ni mke wa Rais wa 
Zamani wa Kenya Mwai Kibaki ambaye taarifa zinasema amekuwa akiugua kwa muda sasa na alikuwa akitibiwa nchini Kenya kwa takribani mwezi mmoja na baadaye 



Alipelekwa Uingereza kwa matibabu zaidi ambako mauti yamemkuta. 

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.