VIDEO + PICHA: JE? WAJUA KUWA CHINA INA MSONGAMANO MKUBWA SANA DUNIANI KULIKO NCHI ZOTE


Nchi ya China imeweka rekodi ya kuwa na msingamano mkubwa sana duniani. Hii inatokea mara kwa mara kwenye siku ambazo Wafanyakazi wa China wanasherekea siku tatu za wafanyakazi kwa kutokwenda kazini.

Siku hizo miji inakuwa bize kuliko siku zote kila eneo sio barabarani na migahawani bali hata kwenye vyoo vya umma. Pia siku hizi watu wengi wanaenda kutembelea sehemu za makumbusho. video





Watu wakiwa wamesongamana katika uzinduzi wa simu ya iphone kutoka kampuni ya apple.


No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.