IMPORTANT !! MUST READ !! TAARIFA KUHUSU MIKOPO YA ELIMU YA JUU AWAMU YA NNE
Siku ya tarehe 27/05/2016, nilifanya mawasiliano na kamishna wa bajeti - Tanzania MH. JOHN CHEYO na ameniambia kuwa pesa za kujikimu awamu ya nne zimeshatumwa bodi ya mikopo - HELSB , Hivyo basi vyuo vinatakiwa kupata pesa hizo haraka kuanzia siku ya jumatatu tarehe 30/05/2016.
Ni rai yangu kwa uongozi wa vyuo husika ambavyo bado vyuo vyao havijapata pesa hizo kufatilia na kuhakikisha kwanzia jumatatu pesa hizo linapatiwa ufumbuzi.
IMETOLEWA NA :
MWENYEKITI WA KAMATI YA MAWAZIRI WA MIKOPO YA ELIMU YA JUU
TANZANIA
SHITINDI VENANCE
No comments:
Post a Comment