NAIBU SPIKA AAMURU WABUNGE KUTOKA NJE..NI BAADA YA BUNGE KUKATAA KUJADILI KUFUKUZWA KWA WANAFUNZI UDOM



30 May 2016

Naibu Spika ameamuru Wabunge kutolewa nje ya bunge baada ya baadhi ya Wabunge hao kusimama kupinga kitendo cha bunge kakataa kujadili suala la Serikali kuwataka wanafunzi wa UDOM kurudi kwao ndani ya saa 24 kufuatia mgomo wa Walimu unaoendelea kwa sasa. 







No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.