PICHA: JINSI WACHEZAJI WA LEICESTER CITY WALIVYOSHANGILIA UBINGWA WA LIGI KUU UINGEREZA NA USHINDI WA VARDY.



Baada ya klabu ya Leicester City kutangaza Ubingwa kufuatia sare ya goli 2-2 waliotokaTottenham Hotspurs dhidi ya Chelsea katika uwanja wa Stamford Bridge, wachezaji wa Leicester City kwa pamoja walikusanyika katika nyumba ya Jamie Vardy ambaye ni mchezaji mwenzao wa timu hiyo na kuanza kusherekea.

33BFB5EA00000578-3569871-image-a-36_1462216096942

Nyota karibia wote wa Leicester City waliwasili kwa Vardy huku baadhi ya mashabiki wakiishia kuzunguuka nyumba ya Vardy na kushangazwa na wachezaji hao wa Leicester City ambao wametwaa Ubingwa mbele ya timu vigogo kama ChelseaMan UnitedArsenal na nyinginezo.

33BF72EF00000578-3569871-image-a-1_1462213625589

33BF947700000578-3569871-image-a-21_1462214496996

33BFA13F00000578-3569871-image-a-22_1462214837572

33BFA3A100000578-3569871-image-a-23_1462214987938

33C08E6C00000578-3569871-image-m-44_1462227294871

33BFACBA00000578-3569871-image-a-24_1462215515307

33BFB24000000578-3569871-image-a-33_1462215809214

33C0756600000578-3569871-image-a-79_1462225848598

33C063A500000578-3569871-image-a-61_1462225499863


No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.