" COLD WALTER " - MAJOR LAZER FT JUSTIN BIEBER DANCE VIDEO COVER FROM ICONIC BRIGHT STAR




Nimekusogezea tena karibu yako video ya dance cover kutoka Iconic Bright star, dance ya wimbo wa - COLD WALTER by Major Lazer ft Justin Bieber 

Uisaau kusubscribe kwenye account yao ya Youtube @ Iconic Bright Star kuweza kuziona video kalii kama hizi...

Pia wanatoa mafunzo ya dance kila weekend, yaani Jumamosi na Jumapili, kila mtu anaweza kudance  kwahiyo hii ni fursa yako kufanya kile unachofurahia kukifanya,... kumbuka ni ICONIC BRIGHT STAR - "Everyone can dance "




Weekends dance classes,located at Arusha, Njiro, opp. TBL @ bodytech - jandu road
Booking for perfomamnces and events,
contacts: 0673 228821
Email: marycleotee@gmail.com
Instagram, Youtbe,  Facebook @ Iconic Bright Star

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.