COLLABO 2 MPYA ZA DIAMOND PLATNUMZ, AFANYA NA " WIZKID " NA NYINGINE NA " FRENCH MONTANA " WA MAREKANI
Belle 9 kaitembelea label ya WCB na amesema amejifunza vitu vingi na kupata nafasi ya kusikiliza baadhi ya kazi mpya za Diamond Platnumz ambazo bado hazijatoka hewani.
‘Nilipofika tu ofisini kwake kuna vingi sana nimejifunza pia alinionesha bendi yake mpya ambayo ataanza kuzunguka nayo nchi mbalimbali, pili alinisikilizisha nyimbo zake mbili mpya aliyofanya na Wizkid nyingine amefanya collabo na msanii kutoka Marekani French Montana ni kazi nzuri sana’
No comments:
Post a Comment