UKIPATA SUPRIZE KAMA HII KUTOKA KWA BEYONCE LAZIMA UCHANGANYIKIWE KAMA HUYU RAPPER +VIDEO

chance-the-rapper-beyonce-vmas-backstage

Kilichomtokea rapper wa Chicago, Chance the Rapper wikiendi hii kwenye backstage ya tuzo za MTV VMA lazima atakiweka kwenye kumbukumbu ya maisha yake kwa kuwa watu wengi wanatamani kiwatokee.
Wakati Chance the Rapper akihojiwa na mtangazaji wa MTV, Meredith Graves kuna mtu alikuja nyuma ya rapper huyo na kumlalia kwenye upande wa bega lake la kushoto alipogeuka alishangaa kumuona ni Beyonce aliyefanya kitendo hicho

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.