GOOD NEWS KWA MASHABIKI WA MAN U, NI KUHUSU POGBA



Leo August 7 2016 klabu ya Juventus ambayo ilikuwa inahitaji rekodi ya dunia ya usajili ya pound milioni 100 kama ada ya usajili wa staa huyo, imemruhusu staa huyo kufanya vipimo vya afya Man United.
as
Pogba ambaye ana umri wa miaka 23 aliondoka Man United 2012 na kujiunga na Juventus kwa dau la pound milioni 1.5, Pogba amefanikiwa kushinda mataji manne ya Ligi akiwa na JuventusPogba atakuwa staa wa nne kusaliwa Man United chini ya Jose Mourinho baada ya  Eric BaillyIbrahimovic na Henrikh Mkhitaryan.

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.