PICHA: JESHI LA POLISI LIKIPITISHA SILAHA ZAKE KATIKA MITAA MKOANI SINGIDA - YASEMA ILI WANANCHI WAONE KODI ZAO
Baadhi ya askari polisi mkoani Singida, wametembeza silaha zao kwenye mitaa mbalimbali Singida mjini, kwa ajili ya kuwaonyesha wananchi silaha zilizonunuliwa kwa kodi zao.
Kaimu Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, SSP Mayalla Towo, alisema zoezi hilo ni la kawaida na halina uhusiano na jambo lolote.(Picha na Nathaniel Limu). Japo wanannchi wamehoji mbona siku nyingine huwa awafanyi mazoezi hayo mchana?? kwanini sahivi?
No comments:
Post a Comment