NIMEKUSOGEZEA PICHA ZA MASANJA NA MKEWE WAKIWA HONEY MOON - HOFU YAZUKA KUHUSU UCHUNGAJI
Baada ya Harusi ya Mchekeshaji Masanja na Mkewe iliyofungwa Jumapili iliyopita wawili hao wameonekana kwenye picha mbali mbali wakijivinjari Honey Moon huku mavazi yao yakileta mabishano kama kweli ni Baba Mchungaji na Mama Mchungaji....
Hizi ni baadhi ya comments kwa picha izo walizopost:
"Don't judge by looks....THE LORD GOD ALMIGHTY knows the hearts of everyone"
"Mavazi yanaonyesha uhalisia wa mtu. Kuna mavazi ambayo KAMWE mtu wa Mungu hawezi kuyavaa au kumruhusu mtu anayemmiliki kuvaa. Ila sijayaongelea mavazi aliyovaa Masanja"
"The Bible teaches us how to distinguish false from true prophets. Follow the Bible!!!"
"Dah!Mke wa masanja ana ugonjwa wangu kwa kweli"
No comments:
Post a Comment