HATARIII TUPU : TARAJ HENSON " COOKIE ' APATA SHAVU KWENYE JARIDA LA ENTERTAINMENT MWEZI HUU +PICHA
Ndani ya jarida hilo Taraji ameizungumzia nafasi ya Cookie ambaye ndiyo jina analotumia kwenye tamthilia hiyo kwa kusema, “Cookie has all kinds of fans, all. I get it. She’s my alter ego — we all need a Sasha Fierce”. Tazama picha
No comments:
Post a Comment