PICHA 11 : ANGELINA JOLIE BAADA YA KUTENGANA NA BRAD PITT, ATAISHI KWENYE HII NYUMBA YA $95,000 ( Mill 209 TZS) KWA MWEZI
Baada ya Angelina Jolie kumtandika talaka mumewe Brad Pitt, anahamia kwenye mjengo huu akibeba na wanae wote, sita.
Kwenye nyumba hiyo ya kifahari, Angie atakuwa akilipa $95,000 kwa mwezi (zaidi ya shilingi milioni 209 kwa mwezi).
Tazama picha hizi....
No comments:
Post a Comment