IZZOGBA NDO JINA JIPYA LA IZZO BIZNESS.. NI BAADA YA MAN U KUSHINDA 4 - 1 DHIDI YA LEICESTER.. TAZAMA VIDEO HII
Manchester United wametoa kipigo cha mbwa mwizi dhidi ya Mabingwa Watetezi wa Premier League Leicester City kwa kwafunga mabao 4-1, mchezo uliofanyika kunako Uwanja wa Old Trafford.
Msanii Izzo bizness naye akiwa shabiki wa Man u ameonyesha furaha yake na kusema haya .....
" Huu ni mwanzo tu wa ligi kwahiyo msiogope sana, pia akasema tumuite Izzogba"
Kupitia mtandao wa instagram nimekusogezea clip aliyopost msanii huyo.... tazama hapa chini mtu wangu......
No comments:
Post a Comment