VIDEO : WEMA SEPETU ATOKWA POVU NA KUITMUA" TEAM WEMA " ASEMA INAMUHARIBIA MAISHA YAKE
Malkia wa filamu Wema Sepetu ameitimua team Wema katika mitandao ya kijamii kwa madai wao ndio chanzo cha matatizo mengi katika maisha yake.
Mwigizaji huyo amedai amekuwa hana amani kwa ajili ya team Wema.
“Sasa mimi naomba kusema kitu kimoja, naomba kuanzia sasa hivi sitaki kuijua team Wema, kwa sababu sielewagi team Wema ilitokea wapi, mimi sijui na sio chanzo cha team Wema na sijui mmetokea wapi mmekuja kuniharibia maisha yangu,” alisema Wema.
Nimekusogezea hapa video yake akiongea hayo......
No comments:
Post a Comment