PICHA: MUONEKANO UNAOTARAJIWA WA GARI LA KWANZA KUUNDWA TANZANIA..LITAZINDULIWA DECEMBER 30



“Tumeamua kuunda magari aina ya pick-up kwa sababu ya mahitaji makubwa yaliyopo nchini. Takwimu zinaonyesha kuwa, kwa mwaka Tanzania inanunua magari ya aina hii zaidi ya 4,000. Katika nchi za SADC mahitaji ni pick-up 35,000 kwa mwaka. Tutaanza na mtaji wa dola za Marekani milioni 200 na tumeomba ekari 200 katika eneo la EPZ,”

hizi ni picha ambazo gari hilo linatarajiwa kuwa katika muonekano huu .... 

Image result for pick up car

Image result for pick up car


No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.