NIMEKUSOGEZEA VIDEO MPYA YA WIMBO WA " KAJIANDAE " - OMMY DIMPOZ FT ALIKIBA TAZAMA HAPA

Ommy Dimpoz ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Kajiandae’ akiwa ameshirikiana na Alikiba. Video ya wimbo huo ilionyeshwa kwa mara ya kwanza katika tamasha la Fiesta lililofanyika Jumamosi hii. Video imeandaliwa na director Justin Campos wa Afrika Kusini.

Nimeshakusogezea hapa chini... enjoy 

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.