PICHA : TRENI YA ABIRIA YAPATA AJALI IKITOKEA KIGOMA KWENDA DAR ,, WATU WAOKOLEWA MADIRISHANI



Treni ya abiria ya EXPRESS ikitokea Kigoma kuelekea Dar es salaam January 29 2017 imepata ajali maeneo ya Ruvu ndani ya mkoa wa Pwani ikiwa ni kilometa kadhaa kabla ya kufika kwenye jiji la Dar es salaam.

Shuhuda ambaye alikua ndani ya Treni hiyo amesema Behewa zaidi ya 10 zimepinduka na watu wanaendelea kuokolewa kwa kupitia Madirishani.






No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.