PICHA: WAFUNGA NDOA WAKIELEA ANGANI KATIKA DARAJA LA KIOO .... HATARIII SANAA

Wanandoa walipanda wakiwa kwenye daraja la Shiniuzhai glass, tarehe 9 Agosti 2016


Si jambo linaloweza kufikiriwa na kila mtu kulitenda wakati wa siku maalum, Lakini wapenzi wa kichina walichagua kusherehekea harusi yao huku wakielea angani katika daraja la kioo. 
 Tazama picha hizi....

Wanandoa walipanda wakielea kwenye daraja la Shiniuzhai glass wakati wa harusi yao tarehe 9 Agosti 2016

Wanandoa hao wakitazamwa na wapita njia na waandalizi wa harusi yao, tarehe 9 Agosti 2016

Bibi harusi akishuka kutoka kwenye daraja la kioo la Shiniuzhai tarehe, 9 Agosti 2016

Several couples get married on Shiniuzhai , 21 July 2016

wapita njia walirusha puto jjuu ya daraja la vioo la Shiniuzhai, tarehe 21 Julai 2016


No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.