PICHA : MTANGAZAJI GARY LINEKER ATIMIZA AHADI YAKE YA KUTANGAZA AKIWA NA NGUO YA NDANI ( BOXER )

LinkerinPants-large_trans++eo_i_u9APj8RuoebjoAHt0k9u7HhRJvuo-ZLenGRumA


Gary Lineker msimu uliopita wa Ligi Kuu England 2015/2016 wakati Leicester City wanakabiria na baadhi ya watu kuwa watatwaa Ubingwa wa kwanza wa Ligi Kuu England baada ya kufanya vizuri na kuvuna point katika michezo mingi, Lineker aligoma kuwa Leicester hawawezi kutwaa EPL na kama ikitokea wakifanya hivyo atafanya show yake akiwa na boxer.




Kwa bahati nzuri Leicester City walitwaa taji hilo na mwanzo wa mechi za ufunguzi za EPL August 13 2016, Gary Lineker alitekeleza ahadi hiyo kwa kufanya show yake ya kwanza ya ufunguzi wa EPL akiwa na boxer, kama utakuwa unakumbuka vizuri Lineker aliwahi kuichezea Leicester City kwa miaka 7 na kuhama timu hiyo 1985 na kujiunga naEverton.

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.