BOFYA HAPA KUANGALIA MAJINA YA WANAFUNZI WASIO NA SIFA VYUO VIKUU - FROM TCU




Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inautangazia Umma kuwa zoezi la uhakiki wa sifa za wanafunzi wanaondelea na masomo kwenye Vyuo vya Elimu ya Juu nchini kwa mwaka 2016/2017 limekamilika katika baadhi ya vyuo. Katika kutekeleza zoezi hilo Tume imebaini kuwa kuna wanafunzi zaidi ya 7,000 ambao wamedahiliwa katika programu ambazo hawana sifa.

Orodha ya wanafunzi wasio na sifa imeshawasilishwa kwenye vyuo husika. Hivyo, wanafunzi wote wanaondelea na masomo kwenye Vyuo vya Elimu ya Juu nchini wanaweza kutazama.

Unaweza kuyaona kwa kubofya link hiii hapa chini kudownload... 



        

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.