TAZAMA ALIKIBA ALIVYOENDA LEO KUPOKEA TUZO YAKE YA MTVEMA



Hatimaye alikiba ampewa tuzo yake ya MTV leo hii nchini South Africa ambapo.. haya ndio yalikua maneno yake.. 
“I would like to thank God for the continuous blessings, my family, my management and the fans. I love you all endlessly !!#MTVEMABestAfricanAct #KingKiba,” ameandika Kiba baada ya kupewa tuzo hiyo.
Tuzo ya Alikiba ilikuwa na utata badaa ya awali kupewa Wizkid.
Sintofahamu hiyo ilitokea baada ya Wizkid kutangazwa mshindi ilhali kwenye website ya tuzo hizo, kura zilionesha kuwa ni Alikiba ndiye aliyeshinda.
Hii hapa chini ni video ikionesha Alikiba alivyoenda kupokea tuzo hiyo... 

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.