VIDEO : AKIWA NA MIMBA, TAZAMA PERFOMANCE YA BEYONCE KWENYE TUZO ZA GRAMMY 2017

Image result for grammy awards 2017

Pamoja na kwamba Beyonce ni mjamzito, hiyo haikuwa kikwazo kwake kuwaburudisha na kuwakonga moyo waliohudhuria kushuhudia tuzo za Grammy 2017, na alifanya kama anavyofanyaga - kuwakonga nyoyo mashabiki wake...

Na mimi mtu wako nimekusogezea hapa video uone jinsi alichofanya msanii mrembo Beyonce ambaye ana ujauzito wa watoto machapa kwa sasa... enjoy




Image result for grammy awards 2017

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.