PICHA : KUTANA NA PICASSO , MBWA MWENYE MDOMO PEMBENI YA USO WAKE
Mbwa huyo aliyepewa jina la Picasso kwa sababu ya kuwa na mdomo pembeni ya uso wake, mmiliki wake alisema Picasso alizaliwa akiwa hivyo, mdomo wake ukiwa pembeni ya uso wake, mlliki wa mbwa huyo alimtelekeza katika jumba moja la Mbwa huko mjini Oregon nchini Marekani.
Ambapo mbwa uyo akiwa na ndugu yake anayeitwa Pablo waliokolewa na mtu mmoja mfugaji anayeokoa mbwa waliotelekezwa.
Nimekuekea hapa picha kadhaa zikionesha Picasso alivyo...

No comments:
Post a Comment