RAIS MAGUFULI AMTEUA MAMA SALMA KIKWETE KUWA MBUNGE

Related image

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, tarehe 01 Machi, 2017 amemteua Mhe. Salma Kikwete kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.




No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.