LIVE : IBADA YA JUMAPILI APRIL 9, BISHOP GWAJIMA ...JE, ALMASI ITAGEUKA MAJI ? BOFYA HAPA


Image result for live tv

Ni April 9, 2017 ikiwa jumapili ambapo ibada katika kanisa la Ufufuo na Uzima inakwenda live ikiongozwa na Bishop. Gwajima. 

Nikukumbush tu, jana April 8, Gwajima aliahidi kuwa leo katika ibada " ALMASI ITAGEUKA MAJI " , akiongeza kwa yule aliyemtaja kwenye nyimbo yake lenye lengo la kutetea vyeti feki ajiandae.... nimekuekea hapa chini live Streaming ya Ibada hiyo...Tazama 

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.