IDRIS ADAI KUEKA BLEACH NDEVU ZAKE ILI AFANANE NA MESSI
Mchekeshaji Idris Sultan amekuwa na muonekano mpya usoni baada ya kubadilisha rangi ya ndevu zake (bleach).
" Muigizaji huyo amedai amefanya hivyo ili afanane na mshambuliaji wa timu ya Barcelona, Lionel Messi kwani kuna mdada anampenda ambaye pia huyo mdada anampenda Messi, anajaribu kuwa na muonekano kama wa Messi."
Idris amedai haitakuwa ni style yake ya mara kwa mara kwani amefanya hivyo mara moja ili kumpata mrembo huyo.
No comments:
Post a Comment