PICHA 10 : KILIVYOHAPPEN KWENYE MKUTANO WA UHAMASISHWAJI WA " EAC " KWENYE CHUO CHA IJA - LUSHOTO, TANGA

Kutoka chuo cha Judicial Insttute of Administration ( IJA ) in Lushoto, Tanga Tanzania ambapo mnamo tarehe 28 April, Ijumaaa kulikua na mkutano wa uelemishaji kuhusu ushirikishi wa vijana haswa wa vyuo na college nchini katika maswala mazima ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ( EAC ).

Mada kuu ilikua ni  " BENEFITS OF THE EAC INTERGRATION TO STUDENTS " 
       
    " FAIDA ZA UMOJA WA AFRIKA MASHARIKI KWA WANAFUNZI " 

Susan William kutoka chuo cha Makumira Arusha, ambaye ndiye East Africa Community Deputy Youth Ambassador akiongoza na Loakaki Rogathe ambaye ni Member wa EAC - YAP waliongoza mkutano huo.!! 

Kwa maswali, au maoni kuhusu EAC Youth Ambassador na maswala mazima ya uelemishaji na uhamsishaji wa vijana katika ushiriki wa maswala ya EAC unaweza kuwasiliana nasi kwa kutuandikia barua pepe.

Nimekueke picha zikionesha ilivyokua katika mkutano huo kutoka Lushoto... 

Kwa maswali, au maoni kuhusu EAC Youth Ambassador na maswala mazima ya uelemishaji na uhamsishaji wa vijana katika ushiriki wa maswala ya EAC unaweza kuwasiliana nasi kwa kutuandikia barua pepe.

No comments:

This Website Is Developed & Maintained By Jesse. Powered by Blogger.